SUMAYE AONYA UCHAGUZI KINONDONI

PATRICIA KIMELEMETA WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), Jeshi la Polisi na wasimamizi wa uchaguzi wa ngazi zote kusimamia haki katika uchaguzi ili waweze kumtangaza mshindi ambaye atashinda kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kinondoni. Sumaye ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kampeni ya Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Salum mwalimu alisema iwapo vyombo vya uchaguzi vitaegemea upande mmoja vinaweza kusababisha migongano. Alisema vyombo hivyo vinapaswa kusimamia haki na wajibu wao ili kuhakikisha uchaguzi huo unamalizika...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 7 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News