Sumaye amemuongelea Mtulia, Vipi kuhusu kutumia Salam za CUF na CHADEMA?

Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA leo February 6, 2018 amemuongelea Mgombea wa CCM jimbo la Kinondoni Maulid Mtulia lakini pia amegusia uwepo wa bendera za CUF na CHADEMA katika mikutano yao. “Sisi kila siku nikupelekwa kwenye maadili kwa sababu ambazo hazina maana yoyote, Mkurugenzi wa Uchaguzi […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 6 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News