SUMATRA YASIMAMISHA LESENI ZA ‘VIPANYA’

Na TAUSI SALUM -DODOMA MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Ncihi Kavu (Sumatra) imetangaza kusimamisha utaoji wa leseni kwa mabasi madogo ya abiria maarufu kama ‘vipanya’ yanayofanya safari zake kwenye wilaya mbalimbali mkoani Dodoma. Akizunngumza na waandishi wa habari   Dodoma jana, Ofisa Mfawidhi wa Sumatra, Mkoa wa Dodoma Konrad Shio,  alisema kwa sasa mabasi hayo madogo hayatapatiwa leseni za kufanya safari   katika maeneo ya wilayani na badala yake zitaanza kutumia mabasi ya Coaster kwa ajili ya njia hizo. Alisema lengo la kusimamisha utoaji wa leseni kwa vipanya...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 10 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News