SUGU KULALA MAHABUSU HADI IJUMAA

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amepelekwa mahabusu ya gereza la Ruanda mkoani hapa baada ya kukosa dhamana katika kesi ya uchochezi inayomkabili. Sugu na Mratibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya na kupelekwa mahabusu leo Jumanne Januari 16, baada ya Wakili wa Serikali, Joseph Pande kuiomba mahakama kuzuia dhamana kutokana na usalama wa washtakiwa kutokana na kosa walililotenda. “Kosa walilolitenda washtakiwa ni kutoa maneno ya fedheha yanayomtaja rais kuwa muuaji hivyo wakiwa nje wanaweza kupata matatizo kwa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 16 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News