Sugu amerudishwa rumande, ameukataa ushahidi wa Polisi

Leo February 8, 2018 nakusogezea stori kutoka Mkoani Mbeya ambapo Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini (CHADEMA) Joseph Mbilinyi ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Mkoa wa Mbeya kuwa hajawahi kumtukana Rais badala yake kesi dhidi yake pamoja na mwenzake Emmanuel Masonga imeshinikizwa na Viongoz wa Serikali. Wawili hao wameanza kujitetea katika Mahakama ya Hakimu […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News