STRAIKA NDANDA ANUKIA JANGWANI

NA MARTIN MAZUGWA STRAIKA wa Ndanda, Omari Mponda, amesema yupo mbioni kujiunga na Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Klabu ya Yanga kama dili lake litakamilika. Katika msimu uliopita, Mponda  alionekana kuzisumbua Simba na Yanga  ambapo alimaliza akiwa ameifungia klabu yake mabao sita. Akizungumza na BINGWA jana, Mponda alisema kwa sasa bado anaendelea na mazungumzo na Yanga na mambo yakienda sawa atamwaga wino  kwa kuitumikia katika mismu miwili. “Sikuwa sawa mzunguko wa pili kutokana na majeraha ya goti, lakini naamini uwezo wangu niliouonyesha mzunguko wa kwanza umewavutia Yanga na ndio...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Monday, 19 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News