STRAIKA MWINGINE KUSAINI MIAKA MIWILI YANGA

NA MARTIN MAZUGWA BAADA ya Yanga kunasa saini ya  Ibrahim Ajib, straika mwingine Rafael Daud kutoka Mbeya City anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka miwili kwa msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Ajib amesaini mkataba wa miaka miwili  baada ya kumaliza kuitumikia Simba aliyoichezea kwa mafanikio makubwa na kuiwezesha timu yake kuchukua ubingwa wa Kombe la Shirikisho hivi karibuni. Yanga wanatarajia kumalizana na Daud baada ya  kukubali kusaini mkataba wa miaka miwili katika klabu hiyo kwa dau la Sh milioni 30 kwa ajili ya msimu ujao. Daud ambaye alikuwa anawaniwa...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Monday, 19 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News