STRAIKA MPYA APEWA MIAKA MIWILI YANGA

SAADA SALIM NA HUSSEIN OMARY UONGOZI wa klabu ya Yanga jana ulikuwa kwenye hatua za mwisho za kumsainisha mshambuliaji wa Tanzania Prisons, Mohammed Rashid ‘Mo Rashid’ mkataba wa miaka miwili. Mohammed Rashid ambaye anashika nafasi ya pili katika orodha ya vinara wa mabao, ambapo analingana na Obrey Chirwa wa Yanga, wote wakitingisha nyavu mara sita wakiwa nyuma ya mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi aliyefunga mara nane. Meneja wa Mchezaji huyo, Samuel Sango, amethibitisha kwamba Yanga wanamhitaji mshambuliaji huyo ili kuongeza nguvu kwenye safu yao ya ushambuliaji, kutokana na mechi nyingi...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Tuesday, 5 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News