Stars kambini kesho kujiandaa COSAFA

TIMU ya soka ya Taifa, Taifa Stars inaingia kambini kesho, Dar es Salaam kujiandaa na michuano ya soka ya Baraza la soka la nchi za Kusini mwa Afrika (COSAFA). Kikosi cha wachezaji 22 kitaingia kambini Dar es Salaam kujiandaa na michuano hiyo ya Kombe la Castle Cosafa Juni 25, 2017....

read more...

Share |

Published By: Habari Leo Michezo - Friday, 16 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News