Staa wa soka amepata kichaa baada ya kutapeliwa Tsh Bilioni 75 na mchungaji

Ijumaa ya January 12 2018 katika mitandao ya kijamii zimeenea taarifa za kusikitisha kuhusu staa wa zamani wa soka wa kimataifa wa Nigeria aliyewahi kuvichezea vilabu mbalimbali Ulaya Wilson Oruma kuripotiwa kuwa amepata ukichaa. Oruma ameripotiwa kupata ukichaa baada ya kutapeliwa na mchungaji (Pastor) wake Naira bilioni 1.2 ambazo ni zaidi ya shilingi Bilioni 75 za […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News