SportPesa imetangaza kufuta udhamini katika michezo yote Kenya

Kampuni ya michezo ya ubashiri ya SportPesa leo Jumanne ya January 2 2018 kupitia kwa mtendaji Mkuu wake nchini Kenya Ronaldo Karauri wametangaza kufuta udhamini katika michezo mbalimbalu nchini Kenya kwa kigezo cha kuongezewa tozo la kodi kwa asilimia 35. SportPesa wamefuta udhamini katika michezo yote iliyokuwa imedhamini nchini Kenya kwa madai ya kuzidishiwa tozo la […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 2 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News