SportPesa: Hii ni time ya Chato kwa Rais Magufuli

Watu wangu wa nguvu kutoka Chato Mkoa wa Geita wanaonekana kuwa na bahati hiyo inatokana na Chato kufanikiwa kutoa mshindi zaidi ya mmoja katika promosheni ya Shinda na SportPesa inayoendelea kwa sasa Tanzania nzima chini ya usimamizi wa kampuni ya michezo ya ubashiri ya SportPesa. Masinde Charles Majogoro mwenye umri wa miaka 26 ambaye ni […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 5 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News