SPIKA NDUGAI: ZITTO ACHA KUNICHEZEA

Spika wa Bunge, Job Ndugai, amemtaka Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo), kuacha kumchezea kwani anaweza kumzuia kuongea bungeni hadi atakapomaliza muda wake wa ubunge. Spika Ndugai ametoa kauli hiyo bungeni leo Septemba 13, ambapo pia ameiagiza tena Kamati ya Maadili, Kinga na Madaraka ya Bunge, kumuita na kumhoji Zitto baada ya kuendelea kutoa kauli za kulidhalilisha Bunge. Jana, Spika Ndugai aliagiza kamati hiyo kumhoji Zitto kuelezea ni kwanini alimlaumu Spika juu ya uamuzi wake wa kamati za almasi na tanzanite kutojadiliwa bungeni badala yake kuwasilishwa serikalini wiki...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 13 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News