SMZ kuanzisha sheria kudhibiti madaktari wanaotoroka

 Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Hamad Rashid Mohamed katikati akizungumza na Wafanyakazi na Wataalam wa Kitengo cha matibabu ya Uti wa Mgongo na Kichwa kilichopo Hospital ya Mnazi mmoja mjini Zanzibar Zanzibar mara baada ya kufanya ziara yake katika kitengo hicho na Hospitali ya Wilaya ya Kivunge- Picha na Abdallah Omar-Maelezo Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Hamad Rashid Mohamed katikati akimjulia hali mgonjwa ambaye amelazwa mara baada ya kufanya ziara yake katika kitengo cha matibabu ya Uti wa Mgongo na Kichwa kilichopo Hospital ya Mnazi...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 7 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News