SLAA AELEZA SABABU ZA KUTOMPA POLE LISSU

Na ELIZABETH HOMBO-DAR ES SALAAM BALOZI mteule, Dk. Willibrod Slaa ameeleza sababu za kutompa pole Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu aliyeshambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana Septemba 7, mwaka jana. Dk. Slaa ambaye aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Chadema, alitoa kauli hiyo jana wakati akihojiwa na kipindi cha 360 kinachorushwa na Kituo cha Televisheni ya Clouds. “Suala la Lissu nilishachokozwa sana kwenye mitandao ya kijamii kuwa kwanini sijatoa pole sasa mimi sioni kama pole inalazimishwa. “Kama binadamu hakuna anayependa mwenzake aumizwe lakini matukio ya kuumiza yametokea mara nyingi sana...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 7 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News