Simbachawene awaonya ma-DC, ma-RC

GEORGE Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), amesema wakuu wa wilaya na mikoa wanatakiwa kuacha kufanya mambo yaliyo nje ya mipaka ya kazi zao kwa mujibu wa sheria, anaandika Dany Tibason. Simbachawene ametoa kauli hiyo kufuatia kuwepo kwa malalamiko kuhusu Christiana Mndeme, Mkuu wa Wilaya ya ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Monday, 19 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News