Simba, Yanga zapanguliwa ratiba Ligi Kuu

BODI ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania imefanya mabadiliko ya ratiba ya Ligi Kuu Bara ikiwa ni wiki mbili kabla ya kuanza kwa ligi hiyo. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Boniface Wambura amesema wamelazimika kupangua ligi hiyo kutokana na baadhi ya viwanja vilivyopangwa kufanyika kwa michezo ya ligi hiyo ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Monday, 13 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News