SIMBA YAMPA MKATABA KOCHA WA AL MASRY

NA JESSCA NANGAWE SAA chache baada ya timu ya Al Masry kuiondoa Simba katika michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, uongozi wa klabu hiyo umemwongezea mkataba wa mwaka mmoja kocha wake, Hossam Hassan. Mkataba huo unamfanya kocha huyo sasa kusubiri mpaka msimu ujao baada ya ligi kuu ya nchini Misri kutarajiwa kumalizika mapema wiki ijayo. Uongozi wa klabu hiyo ulitekeleza ahadi hiyo ikiwa ni saa chache baada ya kufanikiwa kusonga katika hatua ya 16 bora ya michuano hiyo mikubwa kufuatia droo ya bila kufungana na sare ya 2-2 ikiwa...

read more...

Share |

Published By: Dimba - Wednesday, 21 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News