SIMBA YAFANYA JEURI KAGAME

NA MARTIN MAZUGWA | MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba, leo watawakabili maafande wa JKU ya Zanzibar, mchezo wa nusu fainali ya michuano ya Kagame, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba wametinga hatua hiyo baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya AS Ports ya Djibout, mchezo wa robo fainali huku JKU wakiwatoa nishai Singida United, baada ya kuwafunga mabao 4-3 kwa changamoto ya mikwaju ya penalti. Katika mchezo huo, Simba inaendelea kumtegemea straika wake mpya, Meddie Kagere ambaye amefunga mabao mawili katika michezo mitatu...

read more...

Share |

Published By: Dimba - Wednesday, 11 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News