SIMBA WATATU' NADHIFU TAYARI KWA KOMBE LA DUNIA URUSI 2018

Kikosi cha England katika suti zao nadhifu maalum kwa safari ya Urusi kwenye Kombe la Dunia. Nyuma kabisa kutoka kushoto ni Danny Welbeck, Phil Jones, Jordan Pickford, Dele Alli, Marcus Rashford, Kyle Walker, Fabian Delph na Jamie Vardy. Katikati kutoka kushoto niMartyn Margetson (Kocha wa Makipa), Harry Maguire, Ruben Loftus-Cheek, Jack Butland, Eric Dier, John Stones, Gary Cahill, Nick Pope na Allan Russell (Kocha wa Washambuliaji). Na mbele kabisa kutoka kushoto ni Danny Rose, Jesse Lingard, Raheem Sterling, Harry Kane (Nahodha), Gareth Southgate (manager), Steve Holland (assistant manager), Jordan Henderson,...

read more...

Share |

Published By: Sporti Starehe - Tuesday, 12 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News