Simba wamshambulia jangili na kumuua….ilikuwaje?

Leo February 12, 2018 moja ya habari kubwa ni kuhusu mtu mmoja anayedhaniwa kuwa jangili katika hifadhi ya simba karibu na Mbuga ya Wanyama ya Kruger amevamiwa na kuliwa na kikundi cha simba akiwa katika shughuli zake hizo za uwindaji nchini Afrika Kusini. Polisi katika eneo hilo wameeleza kuwa mtu huyo ameraruriwa vibaya na vipande vichache tu vya mwili wake ndio vimepatikana ikiwa ni pamoja […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News