SIMBA IMETUA DAR BILA KOCHA MFARANSA, AMETIMKIA KWAO UFARANSA

Kikosi cha Simba kilitua jana jijini Dar es Salaam kikitokea nchini Misri baada ya kushiriki katika michuano ya kimatafai, lakini kocha wao mkuu Mfaransa Pierre Lechantre alipanda ndege na kupaa juu kwa juu.Simba ilicheza dhidi ya Al Masry, Jumamosi iliyopita na mchezo huo kumalizika kwa matokeo ya 0-0 ikiwa ni mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika, Raundi ya Kwanza na hivyo Simba kutolewa kwa faida ya mabao ya ugenini.Lechantre aliamua kuondoka Cairo nchini Misri na kwenda kwao, Ufaransa kwa kile kilichoelezwa mapumziko mafupi.Wachezaji na makocha wengine wa Simba walirejea Dar...

read more...

Share |

Published By: Sporti Starehe - Tuesday, 20 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News