Simba imetangaza kumpeleka Haruna Niyonzima India

Uongozi wa club ya Simba SC ambayo inaongoza Ligi Kuu Tanzania bara leo kupitia kwa mkuu wake wa idara ya habari na mawasiliano Haji Manara wametoa taarifa kuhusiana na majeruhi ya wachezaji wao kwa sasa. Simba kupitia kwa Haji Manara imetangaza kuwa beki wao Salum Mbonde na golikipa wao Said Nduda baada ya kuwa majeruhi […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News