SIMBA AKILI YOTE NI UBINGWA BARA

NA CLARA ALPHONCE SIKU chache baada ya kukabidhiwa majukumu ya kuwa Kocha Mkuu wa timu ya Simba, Massoud Djuma, ameweka wazi mikakati yake ya kuwa akili yake inawaza kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara. Kocha huyo ambaye awali alikuwa kocha msaidizi amechukua nafasi hiyo baada ya uongozi wa Simba kuachana na aliyekuwa Kocha Mkuu Mcameroon Joseph Omog, kwa madai ya kutofanya vizuri katika timu hiyo. Djuma alisema pamoja na kikosi chake kushiriki michuano ya Mapinduzi, lakini yeye akili yake ipo kwenye ubingwa zaidi. “Mimi naangalia ubingwa kwanza ndicho kitu ambacho...

read more...

Share |

Published By: Dimba - Tuesday, 2 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News