Siku ya Kimataifa ya Kuhamasisha Uelewa Kuhusu Kuhusu Masuala ya Ualbino.

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORAKitalu Na. 8, Mtaa wa LuthuliS.L.P 2643, DAR ES SALAAMSimu: +255 22 2135747/8; 2137125; 2135222Faksi: +255 22 2111281Barua Pepe: [email protected]: www.chragg.go.tz Juni 13,2018TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI SIKU YA KIMATAIFA YA KUHAMASISHA UELEWA KUHUSU MASUALA YA UALBINO Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora inaungana na wadau wote wanaolinda na kutetea haki za watu wenye ualbino nchini kwenye kuadhimisha siku ya Kimataifa ya kutoa Elimu kuhusu dhana na haki za watu wenye ualbino duniani “International Albinism Awareness Day’’ tarehe 13/06/2018 ikiwa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 13 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News