SIKIA OFA ALIYOIKATAA MESSI KISA KUBAKI BARCA

CATALAN, Hispania UNAAMBIWA Lionel Messi aliikataa ofa nono ya mkataba wenye nyongeza ya pauni milioni 88 za dili la uhamisho kutoka Manchester City na kuamua kusaini mkataba mpya wa kuendelea kusalia katika viunga vya Barcelona. Muargentina huyo alimaliza utata wa hatima yake ndani ya dimba la Nou Camp mapema mwezi uliopita kwa kusaini mkataba huo mpya utakaomfanya alipwe mshahara wa pauni 500,000 kwa wiki hadi 2021. Lakini kwa mujibu wa mtandao wa Marca, Messi alifikia huko baada ya Man City kujaribu kumshawishi na ofa ya maana ambayo hata hivyo Messi...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Thursday, 7 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News