SIASA INAPOKUWA CHANGAMOTO KWA VIONGOZI WA DINI

Kuanzia wiki iliyopita, Taifa limeghubikwa na hoja tofauti zinazolenga kuunga mkono ama kukosoa hatua ya viongozi wa dini kuzungumzia masuala ya siasa. Hali hiyo imechochewa zaidi baada ya Askofu Zakary Kakobe wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, kukosoa mwenendo wa utawala na utekelezaji wa misingi ya demokrasia nchini. Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Profesa Abdallah Safari amesema kauli iliyoibua mjadala ni iliyotolewa na Askofu Kakobe kuhusu mwenendo wa Serikali ya awamu ya tano. Hoja za Askofu Kakobe zimefuatia na karipio la Katibu wa Wizara...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News