SI SAHIHI KUWABAGUA WATOTO

Na Arodia Peter - SIFA mojawapo kuu ya kuwa mzazi bora ni kutoa malezi bora kwa watoto wote  katika nyanja zote bila ubaguzi. Baadhi ya wazazi wanadhani kuwa malezi bora kwa mtoto ni  kumpatia huduma muhimu kama malazi, chakula na mavazi pekee. Ili mzazi ukamilishe dhana ya kuwajibika kikamilifu kwa watoto, ni lazima huduma muhimu zitolewe pamoja na ushiriki wa kimatendo. Ifahamike kuwa mzazi ndiye kiunganishi kikuu kati yake na mtoto/watoto kuanzia mtoto anapokuwa mdogo hadi ukubwani. Wapo baadhi ya watoto ni watukutu na wengine wasikivu. Miongoni mwa familia...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Sunday, 31 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News