SHOMARI KAPOMBE: NAONDOKA SIMBA

CLARA ALPHONCE NA WINFRIDA MTOI BAADA ya kukosekana dimbani kwa muda mrefu kutokana na majeraha, beki wa timu ya Simba, Shomari Kapombe ameweka wazi kuwa yupo tayari kuondoka kwenye kikosi hicho iwapo mkataba wake utavunjwa. Kauli hiyo imekuja baada ya Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa klabu hiyo, Zacharia Hanspoppe, kumlalamikia beki huyo katika vyombo vya habari kuwa hataki kucheza kwa makusudi. Kapombe alisema amesikitishwa sana na kitendo cha kiongozi huyo kutoa kauli hiyo kwenye vyombo vya habari wakati anafahamu kuhusu afya yake baada ya juzi kuzungumza naye na kumweleza...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News