Shinda na SportPesa: Watu wa Mwanza wanabahati

Timu ya SportPesa kwa mara nyingine ilifika Nyakato mkoani Mwanza kukabidhi TVS KING DELUXE kwa mshindi wa droo ya 22 ya SHINDA NA SPORTPESA iliyofanyika Novemba 16 2017 ambapo Makoye Cosmas ndio aliibuka mshindi. Makoye mwenye umri wa miaka 30 anayejishughulisha na kazi ya ufundi (fundi muashi) alijishindia zawadi hiyo baada ya droo ya kutafuta mshindi […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 6 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News