Shinda na SportPesa: Imefika kila kona kupeleka bajaji za washindi

Fadhili Ali Bungara (23) fundi ujenzi na mkazi wa Mkuranga Pwani (mwenyeji wa Mtwara) ndiye mshindi wa droo ya 30 ya promosheni ya SHINDA NA SPORTPESA. Mshindi huyo alikabidhiwa TVS KING DELUXE yake Disemba 5 Mkuranga mbele ya ndugu, jamaa na marafiki waliojitokeza kushangilia ushindi huo.  SportPesa inaendelea kutoa TVS KING DELUXE kila siku kwa siku 100. Ili kushiriki […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Thursday, 7 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News