Sheria mpya adhabu ya makosa ya jinai Zanzibar yapitishwa

Na Ali Issa, MAELEZO-ZANZIBAR.13 FEBUARI, 2018WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi leo wameupitisha mswada mpya wa sheria ya adhabu kwa makosa ya jinai.Sheria hiyo mpya ya mwaka 2018, inafuta sheria ya adhabu kwa makosa ya jinai ya mwaka 2004.Akisoma sheria hiyo mpya mbele ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Waziri wa Nchi (OR) Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Haroun Ali Suleiman, alisema mswada huo umepitishwa kutokana na kuongezeka makosa ya jinai ambayo  sheria zake hazilingani na adhabu zinazotolewa kwa sasa.Alieleza kuwa, ujio wa sheria hiyo mpya, kutatoa nafasi ya...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 13 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News