Sherehe za Uvishwaji kwa akinamama walezii wa SOS

 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Rais wa SOS Duniani Father Siddhartha Kaul mara baada ya kuwasili katika Kiwanja cha SOS Mombasa Wilaya ya Magharibi B Unguja katika Sherehe ya Uvishwaji Pete wakinamama wa SOS Tanzania Bara na Zanzibar.katikati ni Naibu Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Shadya Mohammed Suleiman.-Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akipunga mkono ikiwa ni ishara ya kuwasalimia wananchi mbalimbali waliohudhuria katika sherehe ya Uvishwaji Pete wakinamama wa SOS Tanzania Bara na Zanzibar hafla iliofanyika katika kiwanja...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 6 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News