SHEREHE YA MIAKA 54 YA MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi katika sherehe hizo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu, Mzee Ally Hassan Mwinyi.  Makamu wa Rais, Bi Samia Suluhu Hassan (mwenye miwani), Waziri Mkuu, Kassim majaliwa na viongozi wengine wakiwa kwenye hafla hiyo.   Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein katika sherehe...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News