Shashi Kapoor, mcheza sinema maarufu wa India, afariki

Mchezaji na mwongozaji sinema maarufu wa India, Shashi Kapoor, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 79. Kapoor ambaye alicheza katika sinema nyingi za India zikiwemo filamu maarufu kama vile "Deewar" na "Kabhie Kabhie" amekuwa hospitalini kwa  muda mrefu akiuguzwa. Shashi alikuwa mmoja wa familia maarufu ya Kapoor ambayo imekuwa katika tasnia ya filamu nchini India kwa miaka mingi. Amewahi kushinda tuzo kadha za filamu na serikali ya India iliwahi kumpa......

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Monday, 4 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News