Shambulio la Lissu lilivyowaponza wabunge

Wakati sakata la kupigwa risasi mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu likimtia matatizoni mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea, mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe amesema ni suala la muda tu kabla ya watu waliomjeruhi Lissu hawajafahamika....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Tuesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News