Shaffih Dauda na Ally Mayay baada ya kushindwa uchaguzi

Baada ya uchaguzi mkuu wa TFF kumalizika na kupata viongozi wapya watakaohudumu kwa miaka minne, wadau wengi wanatamani kusikia chochote kutoka kwa washindi pamoja na wale walioshindwa. Shaffih Dauda na Ally Mayay ni miongoni mwa wagombea walioshindwa kwenye uchaguzi uliomalizika. Dauda alikuwa anagombea ujumbe wa kamati ya utendaji kupitia Kanda ya Dar es Salaam na Ally Mayay yeye alikuwa anawania urais wa TFF. “Uchaguzi umemalizika kilichobaki ni sisi kuwaunga mkono waliochaguliwa kwa sababu lengo la wote lilikuwa ni kwa ajili ya manufaa ya mpira wa Tanzania,” Shaffih Dauda. “Haiwezekani watu...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Saturday, 12 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News