SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU MELI YENYE BENDERA YA TANZANIA KUKAMATWA UGIRIKI

Serikali imesema inachunguza taarifa za meli yenye bendera ya Tanzania iliyokamatwa nchini ugiriki ikiwa na vifaa vya kutengenezea vilipuzi ambavyo vilikuwa vikisafirishwa kwenda Libya. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Susan kolimba alisema kuwa wanafuatilia kwa kina jambo hilo ili kupata ukweli wake. “Kwa sasa ni kwamba jambo hilo tunalifuatilia ili kujua habari hizo kama zina ukweli na tutakapopata taarifa tutawajulisha, bado tunafuatilia,” alisema Dkt Kolimba. Kauli hii imekuja kufuatia kuwepo kwa taarifa kuwa maofisa wa Ugiriki wanaofanya doria baharini wameizuia meli hiyo iliyokuwa...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News