SERIKALI YAPUNGUZA BAJETI YA MIL 80 MAZISHI YA AQUILINA

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imekiri kupokea bajeti ya Sh milioni 80.1 kutoka kwa familia ya Aquilina Akwilini ambapo imesema baadhi ya matumizi hayatakubaliwa kwa kuwa hayagharamiwi na serikali. Taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mwasu Sware, imesema kuwa bajeti waliyokabidhiwa na ambayo inasambaa katika mitandao ya kijamii ni makadirio yaliyoandaliwa na familia ya marehemu. “Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kupitia kwa Katibu Mkuu wake, Dk Leonard Akwilapo, imepokea makisio ya gharama za mazishi kiasi cha Sh 80,150,00...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 21 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News