SERIKALI YAITAMBUA DAWA YA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME

Na Veronica Romwald, Dar es Salaam Serikali imezitambua dawa tano zilizotengenezwa kiasili ikiwamo dawa ya Ujana ambayo inasaidia kuongeza nguvu za kiume. Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Wazee, Dk. Faustine Ndugulile amesema hayo leo Jumanne Macho 13, jijini Dar es Salaam na kuongeza kuwa dawa hiyo pamoja na nyingine zimethibitishwa na Mkemia Mkuu wa Serikali katika kutibu magonjwa mbalimbali. Amezitaja dawa nyingine kuwa ni IH Myoon, Colloidal Silver, Sudhi na Vatari ambazo zinatibu magonjwa mbalimbali ambapo pia amesema dawa hizo zimesajiliwa na...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 13 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News