Serikali Yafanikiwa kuendeleza Madawati ya Jinsia zaidi ya 500

 Naibu Waziri Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Faustine Ndugulile akiongea na vyombo vya habari leo jijini Arusha kuhusu maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika 2018.Mkurugenzi wa Idara ya Watoto kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto akimkaribisha Naibu Waziri Dk. Faustine  Ndugulile kuongea vyombo vya habari leo jijini Arusha kuhusu maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika 2018.Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO.Serikali kupitia Jeshi la Polisi imefanikiwa kuwa na madawati ya jinsia zaidi ya 500 nchi nzima yanayosaidia kutatua na kutoa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 13 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News