Serikali yaendelea kutoa elimu juu ya fursa katika Jumuiya ya Afrika ya Mashariki

Na Miza Kona - Maelezo SERIKALI ya Mapinduzi ya Mapinduzi imesema inaendelea kutoa elimu ya masuala ya Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na fursa zinazopatikana katika maeneo mbali mbali nchini.Elimu hiyo hutolewa kwa wajasri amali, wafanyabiashara na makundi mengine ya wananchi katika mikoa na wilaya zote za Unguja na Pemba ambayo imeleta mwamko kwa Wazanzibar kutumia soko la Afrika Mashariki.Hayo yameelezwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Ussi (Gavu) huko katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani wakati akijibu...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News