Serikali ya ICELAND imefanya kuwa HARAMU wanaume kulipwa zaidi ya wanawake

Nchi ya Iceland imekuwa nchi ya kwanza duniani kuharamisha wanaume kulipwa zaidi ya wanawake ambao wanafanya kazi moja. Sheria hii mpya imepitishwa January 1, 2018 japokuwa ilikuwa imeanza kufanyiwa kazi ili kuhalalishwa tangu Siku ya Wanawake Duniani March 8, 2017. Kupitia sheria hii mpya, makampuni, mashirika na taasisi za kiserikali zilizo na wafanyakazi zaidi ya 25 […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News