Serikali, wasanii wawasaidie Mama Kanumba, Lulu

Aprili 7, 2012 ni siku iliyobeba kumbukumbu nzito kwa msanii wa maigizo nchini, Elizabeth Michael (Lulu). Ni siku aliyojikuta akiingia kwenye tuhuma za mauaji ya msanii mwenzie maarufu barani Afrika, Steven Kanumba. Lulu alifikishwa mahakamani na ilijiridhisha kuwa msanii huyo alikuwa na kesi ya kujibu....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Friday, 17 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News