SERIKALI, TANZANITE ONE MAMBO SAFI

Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Tanzanite One, imekubali kuilipa serikali fidia na kodi watakayokubaliana kutokana na dosari zilizokuwapo awali. Fidia hiyo inatakiwa kulipwa kwa awamu ambapo awamu ya kwanza italipwa ndani ya wiki mbili kuanzia leo, na haitahusisha kodi kwani italazimika kulipa kodi inazodaiwa na Serikali na tozo nyingine zote zinazodaiwa na Serikali kama kawaida. Makubaliano hayo yametiwa saini Jijini Dar es Salaam leo Mei 16, na Mwenyekiti wa Kamati iliyoundwa na Rais John Magufuli, Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi na...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 16 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News