Serikali kuu Marekani ipo hatarini kufungwa tena

Bunge la Marekani kwa mara nyingine linakumbwa na mvutano juu ya kuongeza muda wa matumizi ya serikali ikiwa imebaki siku mbili kabla ya muda uliowekwa kumalizika Alhamis saa sita usiku na hivyo kusababisha serikali kuu kufungwa tena. Ingawa Wabunge wa baraza la wawakilishi wameidhinisha mswada wa bajeti ya muda Jumanne jioni kufuatana na misimamo ya vyama vyao lakini kazi kubwa itakua katika baraza la Senate ambako kura 60 zinahitajika kuidhinisha mswada huo.   Wabunge......

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Tuesday, 6 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News