Serikali Kulipa Madai ya Malimbikizo ya Mishahara Kwa Watumishi wa Umma Kuazia Kesho.

MAELEZO YA MHE. DKT. PHILIP ISDOR MPANGO KWENYE VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MALIPO YA MADAI YA MALIMBIKIZO YA MISHAHARA KWA WATUMISHI WA UMMA Ndugu Wawakilishi wa vyombo vya habari, nimewaiteni leo hii ili niwape taarifa fupi kuhusu malipo ya madai ya malimbikizo ya mishahara kwa Watumimishi wa umma waliokuwa na madai ili muweze kuufikishia umma wa Watanzania.Serikali kupitia mfumo wa taarifa za kiutumishi na mishahara (Human Capital Management Information System – HCMIS) kufikia tarehe 01 Julai 2017 ilikuwa na madai ya malimbikizo ya mishahara yenye jumla ya shilingi 127,605,128,872.81 kwa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Friday, 9 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News