SERIKALI IMESEMA ITAENDELEA KUIMARISHA MFUMO WAKE WA UTOAJI DAWA

div dir=”ltr” style=”text-align: left;” trbidi=”on”> Na Mwandishiwetu Serikali imesisitiza kwamba itaendelea kuimarisha mifumo yake ya utoaji huduma za dawa kutokana na ukweli kwamba baadhi ya dawa zinatumika kwa wanyama na binadamu na kuleta usugu wa ugonjwa husika kwa mgonjwa na  gharama kubwa kwa taifa.   Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na watoto,Dr Faustine Ndugulile wakati wa Ufunguzi wa mkutano wa Kimataifa wa siku nne wa Jukwaa la kudhibiti usambazaji na uzalishaji wa bidhaa za madawa Afrika ambapo nchi 18 zipo nchini kujadili namna bora...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News