Sendeka atumia msiba wa mama yake kutuma salamu kwa Lowassa

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka amemtuma Mbunge wa Simanjiro, mkoani Manyara (Chadema), James Ole Millya kumpelekea salamu za shukrani, Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa kwa kitendo chake cha kumuunga mkono Rais John Magufuli, katika jitihada zake za kulinda rasilimali za Taifa....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Monday, 19 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News