SEKTA BINAFSI ZATAKIWA KULINDA USAWA WA KIJINSIA

Na Veronica Romwald , Dar es salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Sihaba Nkinga, amezitaka kampuni zote zilizopo katika sekta binafsi kuwekeza nguvu zaidi katika kulinda haki ya usawa wa kijinsia. Nkinga ameyasema hayo leo Alhamisi Machi 8, jijini Dar es Salaam wakati akizindua kampeni ya kuhamasisha usawa wa kijinsia katika nyanja ya kiuchumi iliyoshirikisha Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Masuala ya Wanawake (UN-Women-Tanzania. Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini, Alvaro Rodriguez...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News